MasterClass
Mutual Funds& ETF Masterclass
Tsh 40,000/=
Mwezeshaji wetu mbobezi -Salum Awadh Mkurugenzi Mtendaji wa SSC Group na SSC Capital, akiwa na utaalamu katika ushauri wa kifedha kwa makampuni (corporate advisory), uwekezaji wa kibenki (investment banking), na masoko ya mitaji (capital markets).
1.Misingi ya Uwekezaji
2.Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja ni Nini?
3. Aina za Mutual Funds (Aina za Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja)
4. Faida na Hasara
5. Utangulizi wa ETF (Exchange Traded Fund)
6. Faida za ETF
7. Tofauti kati ya ETF na Mutual Funds
8. Jinsi ya Kujenga Portfolio Rahisi (Mchanganyiko wa Uwekezaji)
9. Mkakati Binafsi wa Uwekezaji
/
22nd March 2026
:Zoom platform(download)




Reviews
There are no reviews yet.